Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

(Download) "Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu" by SHADRACK KIRIMI " eBook PDF Kindle ePub Free

Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu
  • Author : SHADRACK KIRIMI
  • Release Date : January 28, 2021
  • Genre: Study Aids,Books,Reference,
  • Pages : * pages
  • Size : 124 KB

Description

Mwongozo huu umetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kuwafaa wanafunzi na walimu katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali riwaya ya Chozi la Heri. Vipengele hivi ni pamoja na ploti, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Ni mwongozo ambao unarahisisha uelewaji wa masuala yanayoonekana changamano na tata kwa kutoan msuko ulio sahili. Mwongozo huu ni wa kipekee kwa maana una maswali kadha ya kumchokonoa mwanafunzi. Isitoshe, maswali haya yametolewa majibu yenye hoja za kuridhisha. Majibu haya yanalenga hasa matarajio ya watahini na mitindo mipya ya kutahini ambapo unapata mwanafunzi anahitajika kuandika hoja kumi na nne kujibu swali moja. Kuna aina mbalimbali za maswali. Kuna yale ya dondoo, ya kujadili pamoja na yale ya kuthibitisha kauli ama usemi fulani kutoka kwenye riwaya. Kwa kifupi, huu ni mwongozo wa aina yake ambao haumwonjeshi tu msomaji asali bali unampa fursa ya kuchovya moja  kwa  moja  ndani ya buyu lenyewe.


Ebook Download "Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu" PDF ePub Kindle